Je, akili yako ina akili?
Jibu maswali haya manne tuone kama bongo yako inachemka;1. Unawezaje kumuweka twiga kwenye friji?.
.
.
Jibu sahihi ni kuwa unafungua mlango wa friji na kumuingiza na kufunga. Acha kuanza kuwaza kuwa jambo hili ni gumu
2. Unamuwekaje tembo kwenye friji ?
.
.
Jibu sahihi ni Unamwondoa twiga kwanza halafu unamuingiza tembo. Jamani acheni ubishi
3. Ikiwa mfalme wa wanyama ataitisha mkutano, mnyama gani hatakwenda?
.
.
Jibu sahihi ni tembo, kumbuka kuwa umemfungia mwenyewe kwenye friji.
Haya najua kuna wengi watakuwa wamekosa kutoa majibu sahihi kwa maswali yote, hebu jaribu hili rahisi
4. Unataka kuvuka mto lakini huwa una mamba wengi utafanyaje?
.
.
Jibu Sahihi ni kuwa utaogelea maana mamba wote wako mkutanoni! Dah kazi kweli kweli!
SIKIAAA HIII KATI YA MKE NA MUME.
Mke:Mme
wangu nasikia housegirl wetu ana mimba.
Mme:ni shida zake.
Mke:hii mimba ya housegirl inaniumiza sana kichwa
Mme:ni shida zako
mke:hata majirani wanaizungumzia sana kuhusu hii mimba.
Mme:ni shida zao
Mke:halafu wanasema ni mimba yako
Mme:ni shida zangu.
Kuna discussion tena?
mshikaji 1 alikuwa na Baba yake,akamuona Girlfriend(GF) wake anakuja.bahati mbaya
dingi yake alikua mkali kichizi na mazungumzo yao yalikua hivii
MSHIKAJI:umekuja kuchukua kile kitabu cha speak english my father doesnt know?
GF:yeah,na kile cha where should i wait you?
MSHIKAJI:Daah,hicho akipo may be kile cha wait meunder coconut tree
GF:Sawa usisahau na kile cha i gv u 5 minutes
MSHIKAJI:yeah,ntakupa na kile cha i wont let you down.
BABA:MBONA VINGI SANAA ATAVISOMA VYOTE IVOO?
MSHIKAJI:aahhh huyu dada anasoma sana vitabu ndo antuongoza darasani.
DINGI;oky sawa mpe basi na kile cha I AM NOT THAT MUCH STUPID.
MSHKAJI NA GF wake:@%&8***8*888*8888*88*88